SIKU KUU
SIKU KUU
Afueni ni la maana,Kufikwa na wasaa
Kula,na waja Wana,kupumbazwa na vyakula
Krisimasi Cha wadia,mwenye enzi aenziwa..
Mapocho twatarajia,bila
kumbukizi kwa walokosa,
Wengine wamekosa,tone LA maji la kinywa
Krisimasi Cha wadia mwenye enzi aenziwa
Kila mja ni Koko,mwelekeo bila tembea
Mavazi Bora yaenza,hekalu kosa bila
Krisimasi Cha wadia mwenye enzi aenziwa
Mvunyo yanabisha,kupotosha wasotarajika
Midundo Kila aina,misakato na miskuma
Krisimasi Cha wadia mwenye enzi aenziwa
Kasa changu chalia,kutaipu kimechoka,
Cha subra ya vuta heri,mengi yataandika..
Krisimasi Cha wadia mwenye enzi aenziwa
Wuo nyakan
SIKU KUU
Reviewed by Milcah the Poetess
on
January 15, 2022
Rating:
No comments: